Wolves - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Willian Jose Atua Wolves kwa Mkopo.

Daily News

Wolves imekamilisha usajili wa mkopo wa mshambuliaji wa kibrazil Willian Jose akitokea Real Sociedad. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ameenda Molineux kwa mkopo kwa muda wa uliyobakia katika …

Uchambuzi: Wolves vs Chelsea.

Daily News

Frank Lampard anatarajia kukutana na Nuno Espirito Santo’s Usiku wa leo pale Chelsea itakapo kabiliana na Wolves katika mchezo wa Premier League katika dimba la Molineux. Chelsea ilicheza mechi 17 …

Semedo Ametambulishwa Rasmi Wolves

Daily News

Aliyekuwa beki wa Barcelona – Nelson Semedo, amekamilisha usajili wa kujiunga na Wolves na leo ametambulishwa rasmi. Kocha wa Wolves – Nuno Espirito Santo, alikuwa sokoni akitafuta mbadala wa Doherty …

Burnley Kumsajili Will Norris wa Wolves

News

Burnley wamejipanga kuinasa saini ya kipa wa Wolves, Will Norris. Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 27 alitumika kwa mkopo na Ipswich Town kwa msimu uliopita na anatarajiwa kusepa …

Nuno Kusalia Wolves

Daily News

Kocha wa Wolves, Nuno Espirito Santo yuko karibu kukubali mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kuinoa klabu hiyo ya Molineux, kwa mujibu wa Mirror. Nuno ameendelea kuwa bora na timu …

1 2 3 4 5 6 26 27 28