Klabu za Tottenham Hotspurs na Wolves tayari zimekubaliana juu ya suala la ada ya uhamisho wa mchezaji Matt Doherty.
Tottenham watalazimika kutoa pauni 15m ili kupata saini ya nyota huyo, na ripoti zinaarifu kuwa ni suala la muda tu kabla ya hilo kutimia kwani Tottenham wamekubaliana na dili hilo.

Jose Mourinho amevutiwa na kiwango cha beki huyo kwa misimu ya hivi karibuni hivyo basi yupo tayari kumtumia kama mbadala wa Serge Aurier katika safu ya ulinzi ya vigogo hao wa London.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28 hivi sasa, aliyeanza safari yake ya mafanikio katika soka ndani ya klabu ya Bohemians na kuichezea kwa mafanikio makubwa katika msimu wa 2019/20 alifanikiwa kucheza mechi 50 na kusaidia kuimarisha safu ya ulinzi huku akifunga jumla magoli 7!
Klabu ya Wolves ipo mbioni kufanya marekebisho makubwa katika kikosi chake cha kwanza na kumuuza Doherty ili wapate pesa za kutosha kusajili wachezaji wengine ni sehemu ya mpango huo. Wolves, waliomaliza nafasi ya saba katika misimu miwili mfululizo ya Ligi Kuu ya Uingereza wanataka kuona wanafika mbali zaidi msimu ujao wa 2020/21.
Klabu hiyo pia ipo katika mazungumzo na Arsenal kuona kama kutakua na uwezekano wa kumpata Ainsley Maitland-Niles ikiwa dili la Doherty kwenda Tottenham litatimia.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Theonestina
Habari njema
Asia Abdy
Nice
Flomena
Jose Mourinho amevutiwa na kiwango cha beki huyo kwa misimu ya hivi karibuni hivyo basi yupo tayari kumtumia kama mbadala wa Serge Aurier katika safu ya ulinzi ya vigogo hao
Sylvester
Flomena acha kucopy na kupaste kama ilivyotuma na mwandishi wetu
magdalena
kocha wa spurs naona anamuhitaji mchezaji huyo kwa sababu ya juhudi zake
Ernest
Pigo kubwa sana kwa Wolves kuondoka kwa Doherty lakini ni changamoto nzuri kwa Doherty katika maisha yake ya soka kutua timu kubwa kama Spurs.
Mwajumah
Habari njema#Meridianbettz
Nasra
Asante kwa makala
Fatina mfingi
Ukiona mchezaji anaitajika timu nyingine jua alifanya juhudi na kujituma awapo uwanjan na ndoman kocha anawiitaji dehertly!!
Fatuma kasomo
Asante kwataarifa
Adelta
Mashabiki tunashukuru kwa taarifa nzuri.@meridianbettz
Njiku
Itakuwa poa sanaaa akitua hapo doherty
Caroline
Ha ha ha pesa madafu
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki wa Tottenham maana Matt yupo fiti uwanjani
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa sisi mashabiki wa Tottenham yupo vizuri jamaha huyo
Khadija
Matt namkubali sana#meridianbettz
Rehema
Eeeeh bwanae nimeikubali habari mzuri
Antony Luseno
Wolves wajipange kuziba pengo lake Doherty
Povel
Kila la kheri deal hlo Kama litakuwah done spurs and wolves
Neema
Habari njema sana #meridianbet
Sauda
Pengo lisilozibika kwa Wolves kuondokewa na jembe
aisha
Pesa ndo kila kitu.
Samira
Tottenham wanajipanga na wao maana msimu ulioisha walikua hovyo sana
Gabriel
Matt Doherty bonge la mchezaji yuko vzur sana
Mwanahamisi
Pesa ndio kila kitu
Sadick
Kocha Mourinho ndie aliyebadili mfumo wa kutafuta mafanikio ya timu kutoka kwenye kukuza wachezaji kwenye academy na kufundisha hadi kununua wachezaji wazuri na kupata mafanikio. Kabla ya kuja Mourinho kulikuwa na wachezaji mahiri na wenye ari kwasasa inaonekana kama tottenham hakukuwa na wachezaji wa kufaa#meridianbettz
Shafii
Jose morinho hayuko nyuma nae kwa kukijenga kikosi cha spurs kwa msimu ujao.
Omary lukumbi
Nice spurs
Agness
Makala nzuri
Amiri Kayera
Utakua usajir mzur
Janeflora malisa
Nice
Furahav
Aende tu.
Hope mwaikuka
Hela ndo mambo yote
Shan
Tottenham watamtwaa huyu mtu tu
JULIANA
Asante kwataharifa
Saupha mohamed
Tottenham sasa wajipange msimu ujao
lombo
pesa ndo kila kitu
Issa
Totenham wamefany poa
Rose kapinga
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!!!
Ester jackson
Kocha Jose anajua kuchagua sana wachezaji wa kuweza kukava sehemu anazotaka
felister
habari njema
Devotha
Good newz
Sabrina
Matt yuko vizuri
Zeiyana
Mourihno ni kocha mzuri sana ila ndio ivyo tena hanakua hana busara kwa wachezaji yani ni mtu wa kuamua na sio humuamulie wewe subiri tuone hatima yake pale totteniaham
warda
Mbona pesa nyingi na huyu uwezo ni mdogo sana
David Pere
Jose Mourinho amevutiwa na kiwango cha beki huyo kwa misimu ya hivi karibuni hivyo basi yupo tayari kumtumia kama mbadala wa Serge Aurier katika safu ya ulinzi ya vigogo hao