Ovie Ejaria ameicha Liverpool na kujiunga moja kwa moja na klabu ya Reading inayoshiriki Championship.
Ejaria mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na Reading kwa mkopo akitokea Liverpool mwezi Januari mwaka 2019 kabla ya kutumia msimu wote 2019-20 na klabu hiyo.
Vilabu hivyo vimekubaliana kufanya uhamisho wa kudumu, hilo lilithibitishwa siku ya Ijumaa.
Inaripotiwa Reading wamelipa kitita cha £3m ilikukamilisha uhamisho wa moja kwa moja kwa mchezaji huyo.
“kiuhalisia, kila mtu katika klabu amefurahishwa kukamilika kwa uhamisho huu, mmiliki wetu Mr.Dai [Yongge] alikuwa na nia ya kumaliza dili hii haraka iwezekanavyo,” Meneja wa Reading Mark Bowen alisema.
“Ovie alimuonesha kila mtu kiwango chake cha kipekee kwa muda aliyotumia kuwa Reading ikiwa ni dili ya mkopo nina uhakika mashabiki na uongozi wamefurahishwa kuona Ejaria ataendelea kuwepo klabuni kw miaka minne ijayo.
Ejaria alitua Liverpool akitokea Arsenal mwaka 2014 na kucheza michezo nane pekee katika kikosi cha wakubwa kwenye Premier League kabla hajakwenda Reading kwa mkopo.
Liverpool imewauza wachezaji wake Ejaria, Adam Lallana, Dejan Lovren na Andy Lonergan wakati ikifanikiwa kumsajili beki wa kushoto Kostas Tsimikas aliyekuwa akikipiga Olympiacos.
Liverpool itakabiliana na Arsenal siku ya Jumamosi katika kombe la Ngao ya jamii kabla hawajacheza mchezo wa ufunguzi wa Premier League dhidi ya Leeds United Septemba 12.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Ernest
Kila la kheri Ejaria katika maisha yako mapya
Mwajumah
Kila la kheri Ejaria#Meridianbettz
magdalena
kila la kheri kijana kacheze mpira wa viwango
Fatuma kasomo
Kila la kheri
Nasra
Akafanye mapya na mazur huko aendako
Adelta
Hongera Sana Ejaria
@meridianbettz
Njiku
Ejaria acha acheze uko kwa uwezo aliokuwa nao
Caroline
Ejaria Karibu Reading…
Khadija
kila la kheri Ejaria uko uendako#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwake mungu amjalie kwenye makaz mapya
Mwanahamisi
Kila la heri
Dorophina
Kila lakheri ejaria endelea kuwakilisha vizuri ukiwa liver
Tatu
Ejaria anaenda kuonesha umwamba wake club ya reading
Rehema
Kila la kheri
Povel
Kila la kheri maisha popote kikubwa kupambana
Neema
Kikubwa akapambane vizuri
Sauda
Hongera yake
marry
all the best
aisha
Ni jambo zuri kwa uwongozi wa reading.
Samira
All the best Eljaria
Saupha mohamed
Kila LA kheri
Gabriel
Ovie Ejaria kambi kokote kule namkubal sana huyu jamaa hatar sana 👍
Theonestina
Hongera yake
Isaya massawe
Ameona ni sehem sahihi kwake
Shafii
Pongezi reading kwa kupata kandarasi ya ejaria kwani ni sehemu ya kutanua kikosi.
Omary lukumbi
Hongera reading
Agness
Akaonyeshe juhudi huko aendapo
Sadick
Haivutii sana kuuza chipukizi waliokuzwa kwenye academy ya Klabu kama Ejaria,endapo atafanya vizuri Reading atakuja kuuzwa bei kubwa na itakuwa kama hasara kwa Liverpool#meridianbettz
Amiri Kayera
Bola ameangalia sehem sahii
Furahav
Hongera
Samiah
Safi
Janeflora malisa
Good
Hope mwaikuka
Vzur sasa pambana
Shan
Ejaria ni mahir sana
lombo
habar njema
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Issa
Safi kwa kujiunga reading
Rose kapinga
Umefanya chaguo sahihi!!
Ester jackson
Hongera kwa kuongeza hatuwa
Latifa juma mohamed
Chaguo sahihi
rama
vizuri pale kiwango chake kilikuwa kinapungua tu
felister
kila la kheri
farida ahmadi
Habari njema Sana
Sabrina
Asante kwa taarifa
Devotha
Kila la kheri
Zeiyana
Ongera sana ejaria maisha popote kikubwa tu kutimiza ndoto zako
warda
Kajiona Bora Atulie tu reading
David Pere
Ovie Ejaria kambi kokote kule namkubal sana huyu jamaa hatar sana