Wakala Jorge Mendes anatajwa kuwa kwenye harakati za kutafuta timu nyingine kunako EPL kwa ajili ya kocha Nuno Espirito Santo
Hii ni habari ya kushtua kidogo kufuatia kocha huyo kusaini mkataba mpya na klabu ya Wolves mwezi Septemba 2020.
Awali ilisemekana Mendes alikuwa mazungumzoni na Arsenal akimpigia upatu mteja wake [Nuno] akabidhiwe mikoba ya Arteta, tangu mambo yabadilike na Arsenal kuanza kupanda chati, maongezi ya kumpeleka mreno huyo Emirate yamekatishwa.

Kabla ya Ole Gunnar Solksjaer kukabidhiwa mikoba ya Mourinho, Mendes alipendekeza jina la Nuno kwa viongozi wa Man United ambao mwishoni waliamua kuondoka na mtoto wao wa nyumbani [Ole].
Bado haijajulikana Nuno Espirito Santo ataenda timu gani kama ataondoka Wolves. Japokuwa, inasemekana timu atakayoenda lazima iwe inacheza mashindano ya Ulaya.
Itakuwa ni timu gani? Endelea kupitia kurasa zetu za Meridianbetsports kwa taarifa motomoto za kimichezo.
MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5
Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!



Sadick
Pengine anataka kwenda Chelsea inayosusua chini ya Lampard!
Caroline
Bora Santo abaki Wolves
Rahmal
Santo abaki tyu
Amani
Ni kocha mzuri Sana
Magdalena
Duh balaa ngoja tuone
Dorophina
Dhaaa sijui itakuwaje
Angelina
Nice update
Shakila mrope
Habari njema
Saupha mohamed
Goodnews
lombo
saf
Mwanahamisi
Nice
Issa
Wolves inakuhitaj
Lydia Emmanuel Magoti
Ngoja tuone
felister
sa itakuaje
Hopemwaikuka
Mazito
Sania
Dah sijui itakuwaje
Sarah
Mambo mazito
warda
Hawa makocha nao wanapenda sana kuhangaika