Luka Modric - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Bernabeu Mpya, Real Madrid Mpya

Daily News

Licha ya kumkosa Kylian Mbappe katika dirisha lililopita la usjaili Real Madrid haijakata tamaa bado wapo kwenye mipango ya kumleta Bernabeu mshambuliaji huyo wa Ufaransa ambaye mkataba wake na PSG …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Arsenal imeafikia makubaliano ya kumsani kiungo wa kati wa Norway Martin Odegaard, 22, kwa mkopo kutoka kwa Real Madrid. The Gunners wamekubali kulipa dau la £1.8m kumsajili Odegaard …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Chelsea tayari inafanya mazungumzo na mlinzi wa Brazil Thiago Silva, 36, kuhusu kuongezwa kwa kandarasi yake kwa mwaka mwingine hadi 2022. Arsenal inamfuatilia aliyekuwa mchezaji wao Yunus Musah, …

Real Madrid: Hatma Ya Ramos Ni Ipi?

Daily News

Moja ya vitu vilivyoathiriwa na mlipuko wa COVID19, ni mishahara ya wachezaji. Real Madrid kama zilivyoklabu zingine, bado inahaha kwenye kuongeza mikataba ya wachezaji wake. Mkataba wa nahodha wa Real …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Mshambuliaji wa Juventus na Argentina Paulo Dybala 26 ambaye amehusishwa na uhamisho wa kuelekea Tottenham pamoja na Man United yuko katika mazungumzo ya kusaini mkataba mpya na klabu …

Ronaldo na Ramos Wamaliza Tofauti Zao.

Daily News

Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos waamua kuweka tofauti zao pembeni na kujumuika pamoja, sambamba na Pepe. Katika mchezo huo uliowakutanisha Portugal dhidi ya Spain  ulioisha kwa suluhu ya 0-0, iliwakutanisha …

1 2 3 4 5 6