Mourinho: Sanchez Hakuwa Vizuri

Kocha wa klabu ya Roma Jose Mourinho ameamua kufunguka kwa nini Sanchez alikuwa hana muendelezo mzuri wa kiwango chake alipokuwa anakipiga kwenye klabu ya Man Utd .

Alexis Sanchez ambaye alisajiriwa kutokea klabu ya Arsenal kwenye usajiri uliohusisha mabadilishano ya mchezaji na kiasi cha pesa lakini hakuweza kuwa kwenye kiwango bora akiwa chini ya kocha wa kireno Jose Mourinho na kuamua kumtoa kwa mkopo kwenda Italia kwenye klabu ya Intel Milan.

Mourinho

Alexis Sanchez tokea apelekwe kwa mkopo Inter na mwisho akasajiriwa moja kwa moja amekuwa na muendelezo mzuri wa kiwango chake na katika mchezo ambao Inter walishinda 2-0 dhidi ya Roma ndipo waandishi walipopata nafasi ya kuuliza nini kilimsibu akiwa chini yake kwa kutokuwa na kiwango kizuri.

Mourinho alipoulizwa alijibu, “nilizungumza nae kidogo kabla ya mchezo kuanza, tukiwa bado Uingereza hakuwa vizuri kule, wakati yupo hapa Inter, anafuraha na amefunga goli bora ambalo limebadilisha mchezo.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe