Tetesi zinasema, Meneja wa Borussia Dortmund Marco Rose anasema mazungumzo yanafanyika na mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland kuhusu mustakabali wake.

Wachezaji kadhaa wa Manchester United wanataka klabu hiyo kuongeza juhudi za kumteua meneja wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino kama kocha wa klabu hiyo ya Old Trafford.

Baba yake winga wa Colombia Luis Diaz anadai kusita kwa Tottenham kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kuliwaruhusu Liverpool kuwashinda hadi kumsajili mtoto wake.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Brighton wanaweza kutarajia kufufua nia ya Aston Villa kumnunua kiungo wa kati wa Mali Yves Bissouma, 25, msimu huu baada ya kukataa dau la pauni milioni 35 katika dirisha la uhamisho la Januari.

Mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 26, anasema Barcelona na Juventus walikuwa na nia ya kumsajili Januari lakini kipaumbele chake kilikuwa kujiunga na Sevilla kwa mkopo kutoka Manchester United.

 

Baada

Tetesi zinasema, Meneja wa Manchester United Ralf Rangnick ana nia ya kumsajili mlinzi wa Borussia Dortmund na Uswizi Manuel Akanji, 26.

Tottenham wanaweza kumrejesha Christian Eriksen katika klabu hiyo kutoka Brentford baada ya kiungo huyo wa kati wa Denmark mwenye umri wa miaka 29 kwa mkataba wa miezi sita baada ya mkataba wake na The Bees kukamilika.

Arsenal ilikataa ofa katika dirisha la usajili la Januari kwa kiungo wa kati wa Misri Mohamed Elneny kutoka Newcastle, Leeds na Watford, licha ya kwamba kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 inatamatika Julai.

Tetesi zinasema, Everton walifurahishwa na mazungumzo na mkurugenzi wa zamani wa ufundi wa Tottenham Steve Hitchen na wanaweza kumleta kama mkurugenzi wao wa michezo.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa