AL-Ahly Wawapa Mamilioni Yanga, Eng Hersi Afunguka

Hamasa za kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga SC na Al-Ahly ya Misri utakaopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa Desemba 2, imeanza kwa nguvu kwa Yanga, wakifanikiwa kukusanya kiasi cha fedha.

 

AL-Ahly Wawapa Mamilioni Yanga, Eng Hersi Afunguka

Yanga Sc imefungua kampeni zao visiwani Zanzibar leo Jumatatu na imefanikiwa kuvuna kiasi cha milioni 40 kutoka kwenye kampuni mbili tofauti, milioni 20 kutoka Zipa na milioni 20 nyingine kutoka ZRA.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Makampuni hayo yametoa fedha hiyo kwa ajili ya mchezo wao huo ambao dhamira yao kubwa ni kuvuna alama tatu baada ya kupoteza mechi ya kwanza dhidi ya CR Belouzidad. Mbali na hivyo mchezo huo umepewa jina la Bacca Day ikiwa na maana jina la beki wao Ibrahim Abdallah (Bacca).

AL-Ahly Wawapa Mamilioni Yanga, Eng Hersi Afunguka

Eng Hersi Said, Rais wa Yanga alisema: “Bacca Day inanogeshwa zaidi na udhamini tuliopata kwa ajili ya mchezo dhidi ya Al-Ahly utakaofanyika Desemba 2, Benjamin Mkapa, Yanga SC tumepata milioni 20 kutoka kwa ZIPA na milioni 20 nyingine kutoka ZRA, ambazo jumla ni milioni 40 ambazo zitatumika kwa siku sita pekee.”

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

AL-Ahly Wawapa Mamilioni Yanga, Eng Hersi Afunguka

Ibrahim Bacca ni mchezaji wetu kutoka hapa visiwani ambae ni askari, yeye ni muajiriwa wa jeshi KMKM ambaye amepewa likizo ya kuja kukitumikia kipaji chake Yanga SC. Leo tupo hapa kwa ajili ya kuzindua Bacca Day na kilele chake kitafanyika Desemba 2, Benjamin Mkapa. Alisema Rais huyo.

Acha ujumbe