Almas Kasongo: Bodi ya Ligi TPLB Kuja na Kanuni Mpya

CEO wa Bodi ya Ligi Tanzania Bara Almas Kasongo amesema kwamba, Bodi ya Ligi imejipanga kikamilifu katika maboresho ya kanuni za uendeshaji wa mashindano yote kwa msimu ujao wa 2024/25, baada ya kumalizika kwa msimu uliokluwa na mafanikio makubwa kwa bodi hiyo. Piga mkwanja na Meridianbet kasino ya mtandaoni, kuna michezo mingi ya sloti na kasino.

 

Almas Kasongo

Kupitia mahojiano aliyofanya na Meridian Sport mara baada ya Ligi kutamatika, alisema kuwa “tumejipanga katika kufanya maboresho ya kanuni za mashindano kwa kushirkiana na wadau, kutoa maoni yao, lakni pia tunaenda kuandaa ratiba ya mashindano mapema kutoka na kuzingatia ratiba na kalenda ya FIFA”

 

Pia aliongeza kwa kusema kwamba ujio wa wachezaji wa kigeni, umeongeza ushindani kwa wazawa, hivyo kwa sasa kila shabiki anapaswa kuwaheshimu pia wachezaji wazawa ili kuwaongezea hali ya kujituma na kuona kwamba wanathaminiwa.

Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.

Acha ujumbe