AZIZ KI ALIYAFANYA HAYA MSIMU ULIOPITA
Makala iliyopita
Uholanzi Waanza na Ushindi Euro2024
Makala ijayo
AZAM FC WANA JAMBO LAO KIMATAIFA
Aziz Ki aliyetambulishwa usiku wa manane ametimiza majukumu yake mchana kweupe huku akiwa na tuzo ya ufungaji bora msimu wa 2023/24 akiwa kafunga jumla ya mabao 21.
Rekodi nyingine ambayo kavunja ni kufunga hat trick mbele ya Azam FC ambayo msimu uliopita hakuiandika na kawatungua makipa wawili wa Simba, mzunguko wa kwanza Aishi Manula na mzunguko wa pili Ayoub Lakred.