BENCHIKHA ATIMKA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha aliondoka jana Machi 7 kwa ajili ya kuelekea nchini Algeria atakuwa huko kwa muda wa siku tano akifanya kozi ya ukocha iliyo chini ya FIFA.

Machi 6 Benchikha alishuhudia kikosi cha Simba kikipigishwa kwata na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.benchikhaAhmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kocha huyo anakwenda Algeria kwa ajili ya kuchukua kozi na atarejea akishamaliza.

“Kocha Benchikha leo ataondoka nchini kwenda Algeria kwa ajili ya kushiriki kozi na atarejea nchini kuendelea na majukumu yake baada ya siku chache.benchikha“Kwa wakati huu ambao atakuwa hayupo timu itakuwa chini ya kocha msaidizi Farid na Seleman Matola ambao wote wana uzoefu na atakosekana kwenye mechi mbili baada ya hapo atarejea kuendelea na majukumu yake.”

Makala iliyopita

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.