CAF Yatua Simba Maandalizi ya Super League

super league

Imeripotiwa kuwa Maofisa Kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) wamewasili hapa Tanzania, kwaajili ya kufanya ukaguzi wa maandalizi ya Super League. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Taarifa iliyotumwa kutoka Klabu ya Simba ambayo ni miongoni mwa vilabu 24 kutoka mashirikisho 6 ya ukanda wa soka Afrika vitakavyo shiriki mashindano hayo, ilithibitisha ujio wa Maofisa hao. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

super League

“Maofisa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) wamewasili nchini kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa maandalizi ya Super League.”

Mashindano hayo ya Super League ya timu za Afrika inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 2023, ambapo Simba ni timu pekee kutoka Tanzania itakayoshiriki Ligi hiyo kubwa na yenye hela nyingi. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.