Chama Akutana na Shabiki Yake

Kiungo fundi wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Zambia Claotus Chama amefanikiwa kukutana na shabiki wake kijana mdogo anaefahamika kwa jina la Masanja aliejichora jina la kiungo huyo mkononi mwake.

Kijana huyo anaelelewa kwenye kituo cha kulelea watoto yatima kinachopatikana katika wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Siku kadhaa nyuma picha yake ilisambazaa kwenye mitandao ya kijamii akiwa amejichora tattoo ya kiungo huyo na kusema anammpenda sana.chamaLeo Chama ameweza kuweka picha kwenye mitandao yake ya kijamii ya Twitter na Instagram akiwa amekutana na kijana huyo mdogo ambaye ameonesha mapenzi makubwa na kiungo huyo wa kimataifa wa Zambia.

“Baada ya muda mrefu, leo nimepata nafasi ya kumtembelea kijana wangu Masanja na familia yake huko Kisarawe. Sikupata njia sahihi ya kumuonesha heshima baada ya kuchora jina langu mkononi mwake”

“Moyo wangu umeyeyuka kutokana na mapokezi niliyoyapata bila kusahau mazungumzo ya dhati baina yetu na familia yake. Nimefurahishwa sana nasubiri kuwaonesha safari ilivyokwenda” Aliandika Chama kwenye mitandao yake ya KijamiichamaWadau wengi wa mpira wa miguu wamefurahishwa na kitendo cha kiungo huyo kwenda kumtembelea shabiki yake na kumpongeza kutokana na mapenzi makubwa aliyoyaonesha kwa kijana Masanja.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.