ALIYEWAHI kuwa wa zamani wa Simba SC na Yanga kwa nyakati tofauti, Deogratius Munishi ‘Dida’ amesema miongoni mwa mabao bora ya msimu ulioisha, limo alilofungwa na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mudathir Yahya. Beti na Meridianbet ushinde mkwanja mrefu. Euro 2024 inaendelea.
Dida alilisimulia bao la Mudathir, namna lilivyomshangaza akiipa Yanga pointi tatu, mechi iliyopigwa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam (Septemba 20, 2023), ambalo hakulitegemea, kwani akili yake alijua mchezo ungemalizika kwa suluhu.
“Yanga ilikuwa imetoka kuzifunga baadhi ya timu mabao matano, jambo ambalo lilifanya tujipange na kila mmoja kufanya kazi yake kwa asilimia 100, tukaangalia wachezaji hatari kwa wapinzani wetu na tulifanikiwa kuwabana.
Aliongeza “Mechi hiyo tulitumia nguvu, kwani Mudathir alifunga dakika za mwishoni, kitu kilichonishangaza kwake ni moyo wake wa kujitoa kwa timu bila kukata tamaa hadi dakika ya mwisho, bila kupindisha maneno lilikuwa bao bora kwa upande wangu, kwani alifanya kazi kubwa na kuonyesha uzalendo kwa timu yake.”
Mudathir alifunga bao hilo, akipokea krosi ya Yao Kouassi na kisha kuifunga, jambo ambalo Dida alisema alitumia akili kubwa ya kufanya maamuzi ya haraka kumtikisa nyavu zake. Meridianbet wana michezo mingi ya kasino unaweza kushinda sasa kirahisi.
Msimu ujao vipi kwa Dida? “Hadi sasa nina ofa ya timu moja, bado muda upo naamini nitapata timu ya kuichezea.”
Cheza na bashiri na Meridianbet kwa uhakika wa ushindi na kuwa familia ya mabingwa.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.