Geita Gold Kumualika Ihefu Kesho

Baada ya Ligi kuu kuendelea hapo jana, kesho pia ligi hiyo inatarajiwa kuendelea kwa mchezo mmoja ambapo Geita Gold ya Felix Minziro itakuwa ikikipiga dhidi ya Ihefu ambao ya Mbeya.

 

Geita Gold Kumualika Ihefu Kesho

Geita Gold ambayo ipo nafasi ya 7 huku wakiwa wameshinda michezo minne pekee, sare sita na kupoteza mechi tatu kwenye ligi hadi  sasa na kujivunia pointi zao 18.

Wakati kwa Ihefu wao wakiwa bado na hali mbaya wapo nafasi ya mwisho kwenye Ligi wakiwa wamecheza michezo 12 lakini ushindi ni mara mbili pekee, wakienda sare mara mbili na kupoteza michezo nane na alama zao 8.

Mchezo huo wa kesho unatarajiwa kupigwa katika uwanja wa Nyankumbu majira ya saa kumi jioni huku Ihefu akiuhitaji mchezo huo kwa hali na mali ili aweze kujinasua katika nafasi aliyopo.

Geita Gold Kumualika Ihefu Kesho

Swali linakuja ni je ataweza kupata pointi tatu kwa Geita ambaye yupo kwenye kiwango kizuri akiwa kapoteza mechi chache zaidi yake huku ushindi wa kesho akiuhitaji pia.


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Acha ujumbe