Baada ya kushinda kwa kishindo mechi yao iliyopita dhidi ya Yanga na kuharibu “Unbeaten” Ihefu wanatarajia kuwa wageni wa Kagera Sugar ya Mecky Mexime katika mchezo wake wa raundi ya 15.

 

Je Ihefu Kuendeleza Ushindi Kesho?

Ihefu walipata pointi tatu muhimu kwa mabingwa watetezi na kutoka katika nafasi yao ya mwisho kwenye mwisho kwenye Ligi na kupanda hadi nafasi ya 14 baada ya kujipatia pointi 11 mpaka sasa.

Ihefu wamecheza mechi 14 wameshinda mechi zao tatu tu, sare mbili na kupoteza mechi tisa. Wakati kwa upande wa Kagera Sugar wao wapo nafasi ya 9 baada ya kucheza mechi zao 14 wakiwa wamejishindia mechi tano, sare tatu na kupoteza mechi sita alama 18 kibindoni.

Je Ihefu Kuendeleza Ushindi Kesho?

Ushindi wa Ihefu hapo kesho utamfanya hadi nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi huku Kagera yeye atatoka katika nafasi ya 9 hadi ya nane. Je vijana wa Juma Mwambusi wataweza kuendeleza ushindi na kujihakikishia nafasi ya 12?

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 1:00 usiku katika Dimba la CCM Kirumba Mwanza.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

Ihefu, Je Ihefu Kuendeleza Ushindi Kesho?, Meridianbet

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa