Meridianbet Sports linafahamu kwamba Kennedy Musonda anavuta mkwanja wa kiasi cha TZS 11M kwa mwezi, na anakuwa moja kati ya wachezaji wanaolipwa vizuri zaidi klabuni hapo huku Stephen Aziz KI ndiye mchezaji anayeongoza kwa kulipwa pesa ndefu zaidi anapokea TZS 23m kwa mwezi. Na Fiston Mayele analipwa 16m TZS
Mshambuliaji mpya wa Yanga Kennedy Musonda unaambiwa maisha anayoishi kwa sasa pale Jangwani kwa Wananchi ni kufuru ni zaidi ya kawaida, wenyewe husema anaishi kishua. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
Kennedy Musonda alitambulishwa Juzi usiku wa kuamkia jana Januari 14, 2023 akisajiliwa kwa mkataba wa kdumu wa miaka miwili kuwatumikia Wananchi wa Yanga.
Meridianbet Sports linafahamu kwamba nyota huyo anavuta mkwanja wa kiasi cha TZS 11M kwa mwezi, na anakuwa moja kati ya wachezaji wanaolipwa vizuri zaidi klabuni hapo huku Stephen Aziz KI ndiye mchezaji anayeongoza kwa kulipwa pesa ndefu zaidi anapokea TZS 23m kwa mwezi.

Hata hivyo kwa upande wa Kennedy Musonda bado anaishi kama Bosi ukilinganisha na wachezaji wengine. Mchanganuo wa Mkataba wake. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.
Kwa Miaka miwili ataingiza 264M TZS
Kwa Mwaka atavuta 132m TZS
Kwa Mwezi atavuta mkwanja wa 11m TZS
Kwa Wiki atavuna 2.75m TZS
Kwa Siku 366,66 TZS
Kwa Saa ataingiza 15,277 TZS
Hatua hii ya wachezaji kulipwa pesa ndefu ni moja ya sababu inayovutia nyota wengi kutamani na kushawishika kuja kukipiga kwenye Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.


