Kibu Denis Aonyesha Jeuri ya Pesa

KIUNGO wa kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda Kibu Denis amekataa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa akidai anakwenda mapumziko nchini Marekani. Kula bata na Meridianbet kwa kucheza kasino ya mtandaoni na kubashiri michezo mbalimbali.

Kibu Denis
Taarifa za uhakika zinasema baada ya kuchaguliwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na mechi dhidi ya Zambia kwa kuweka kambi ya siku 7 nchini Indonesia, Kibu Denis alikaa kimya hadi siku moja kabla ya kuondoka aliposema anakwenda mapumziko Marekani.

Kibu Denis hajaonekana uwanjani takribani wiki tatu alipokuwa katika majadiliano ya kuongeza mkataba na Simba SC. Pia anaungana na wachezaji wengine kama Novatus Dismas ambaye yupo mapumzikoni, Simon Msuva yeye alidai hawezi kusafiri hadi Indonesia atachoka sana, anahitaji kukatiwa tiketi ya moja kwa moja na kuungana na timu nchini Zambia, Haji  Mnoga amedai yuko mapumzikoni na familia yake Misri.

Ipo wazi kuwa kikosi cha Simba ndani ya msimu wa 2023/24 kimegotea nafasi ya tatu baada ya kukusanya jumla ya pointi 69 ndani ya ligi.

Ni mabao 59 timu hiyo imetupia kwa msimu wa 2023/24 huku Kibu Denis akifunga bao moja ilikuwa kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa.

Kuwa sehemu ya familia ya Meridianbet kwa kucheza kasino ya mtandaoni, sloti baada ya ligi nyingi kubwa duniani kuisha, utamu na mipango imehamia kwenye kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe