Klabu ya Yanga imetoa majina ya wagombea nafasi mbali mbali za uongozi wa klabu hiyo huku nafasi ya rais ikiwa na jina moja huku nafasi ya makamu kukiwa na majina mawili na wajumbe wa kamati kuu kukiwa na majina ishirini na saba.

Eng Hersi kupita kwenye mchujo wa kwanza kwenye kinyanganyiro cha nafasi ya uraisi wa klabu ya Yanga kuna maana kuwa yeye ndiye raisi ajaye wa klabu hiyo huku akiwa ndiye mtendaji mkuu wa kampuni ya GSM kwenye klabu ya Jangwani

Yanga, Yanga Kumpitisha Eng Hersi Kunatengeneza Maswali ya Sintofahamu?, Meridianbet

Eng. Hersi Said ni mkurugenzi muwekaziji wa kampuni ya GSM kupita bila kupingwa kwenye klabu ya Yanga kunaleta maswali kama yale ambayo Simba waliyafanya, baada ya msaidizi binafsi wa muwekaji alipopewa nafasi ya ukurugenzi wa klabu, ambaye kwa sasa anapigwa vita na baadhi ya mashabiki na viongozi Barba Gonzalez.

Je Eng. Hersi Said anapokwenda kuchukua nafasi ya urais wa klabu hiyo kubwa anaenda kuhakikisha analinda maslahi ya mwajiri wake au kuipeleka yanga kwenye maendeleo ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele kila siku?

Nini afya ya mpira wa miguu Tanzania kwa wawekezaji kuwaweka watu wao kwenye nafasi kubwa za uongozi kwenye vilabu hivyo.

Unaweza kuweka mchango wako kuhusu afya ya vilabu vya Tanzania kwa wawekezaji kuwaweka watu wao kwenye nafasi za uongozi ni kulinda maslai yao au kusukuma gurudumu la maendeleo ya soka nchini?


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa