Mshambuliaji wa klabu ya Namungo na timu ya taifa ya Taifa ya Tanzania Reliants Lusajo anaongoza kwenye mbio za wanaowania kiatu cha dhahabu kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara.

Mshambuliaji anaeitumikia klabu ya Namungo kutoka mkoani Lindi amefanikiwa kuiongoza orodha hiyo baada ya kua na kiwango kizuri kwenye kupachika mabao kunako ligi kuu ya NBC akiwaacha washambuliaji wenzake.

Lusajo amekua na kiwango bora kwa takribani misimu mitatu akitokea kwenye orodha za wapachika mabao wa juu lakini mpaka sasa msimu akiwa anaongoza orodha hiyo mbele ya washambuliaji hatari kama Mayele,Phiri, na Prince Dube.lusajoMshambuliaji Lusajo anaongoza orodha hiyo akiwa na mabao sita huku Moses Phiri akimfutia pamoja na Sixtus Sabilo pia mwenye mabao matano.

Baada ya muda mrefu ligi ya Tanzania kutawaliwa na wageni, lakini miaka ya karibuni wazawa wamekua wakifanya vizuri kwenye eneo la ushambuliaji baada ya John Bocco kuchukua kwenye msimu wa 2020/21 msimu uliofuata George Mpole akabeba kiatu hicho hivo kama Mshambuliaji huyo wa Namungo atachukua itakua mara ya tatu mfululizo kiatu kubaki Tanzania.


aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa