Klabu ya soka ya wanawake wa Simba inayofahamika kama Simba Queens leo itashuka dimbani tena katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika kwa upande wa wanawake dhidi ya klabu ya Green Buffaloes kutoka nchini Malawi.

Klabu hiyo ya Simba Queens leo itakua inatafuta nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali baada ya kushinda mchezo mmoja tu kwenye kundi lake na kufungwa mchezo mmoja, Hivo mchezo wa leo ni muhimu zaid kwa klabu hiyo kushinda ili kujihakikishia nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.simba queensKlabu hiyo ambayo itajitupa uwanjani leo mida ya saa tano kwa saa za Afrika mashariki timu hiyo itahitaji alama tatu leo kwa namna yeyote ili kufuzu hatua inayofata.

Klabu ya Simba Queens ni timu pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kushiriki michuano hiyo ambayo inafanyika nchini Morocco, Na hii ni baada ya kua bingwa wa Afrika mashariki kwa upande wa soka la wanawake.


aviatorUlishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa