Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Novemba 2 mwaka huu Jijini Dar, Yanga waliambulia suluhu ya bila kufungana.
Mchezo wa marudiano unatarajiwa kupigwa Novemba 9 mwaka huu, ambapo Yanga wanapaswa kupata sare ili kuvuka hatua hiyo.

Akizungumzia hali ya kikosi chao, Meneja wa Yanga, Walter Harrison amesema: “Hali ya wachezaji wote ipo sawa na kila kitu ambacho tumejipanga kinakwenda sawa.
“Tutamkosa Shaban Djuma hiyo ni baada ya kupata majeraha kwenye mchezo uliopita ambapo tulimfanyia mabadiliko na alitoka nje.
“Alichanika nyama za paja hivyo ataukosa mchezo huu huku akiendelea na matibabu hivyo kocha aliona hilo na atajua yeye katika mbinu zake atamuingiza nani kwenye kikosi chake.”

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.
BONYEZA HAPA

