Ntibazonkiza Anaondoka Simba

TETESI zinaeleza kuwa Kiungo Mshambuliaji raia wa Burundi anayekipiga ndani ya klab ya Simba, Saidoo Ntibazonkiza hayupo kwenye mipango ya klabu ya Simba kwa baada ya dirisha lijalo la usajili kupita na tayari klabu imempa taarifa.

Hii ni Kutokana na hilo kiungo huyo anahusishwa na kuhitajika tena na Waliokuwa Waajiri wake Geita Gold na Dodoma Jiji ya Dodoma kwa uhamisho wa dirisha lijalo la usajili kutoka klabu ya Simba.

Saidoo Ntibazonkiza anatajwa kuwa kati ya viungo walioshuka kiwango kwenye klabu hiyo na sasa timu inahitaji kuongeza na wachezaji damu change.

Acha ujumbe