Polisi Tanzania Waandaa Mbinu Mpya

Kuelekea kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Simba, Kocha Msaidizi wa Polisi Tanzania, John Tamba amefunguka kuwa wataingia na mbinu mpya.

 

POLISI

Polisi Tanzania wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na pointi tisa baada ya kucheza mechi 13 kwa msimu huu.

Akizungumzia maandalizi yao, Tamba amesema “Tunamshukuru Mungu kikosi kipo salama na morali ni kubwa kuelekea kwenye mchezo wetu wa kesho dhidi ya Simba.

“Wachezaji wote wapo fiti hakuna majeruhi hivyo kwa sasa kilichopo ni kupanga wachezaji 20 ambao watatumika siku ya kesho.

 

POLISI

“Kila mechi ina mbinu yake, tunavyojiandaa na Simba sio sawa na Ihefu hivyo tunaingia na mpango kazi mwingine kwenye mchezo wa kesho.

“Tumerejea kwenye Uwanja wetu wa nyumbani kuna kitu kimeongezeka kwenye timu kwani mashabiki wetu watakuwepo na tunaenda kuzipambania pointi tatu.”


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

CHEZA HAPA

 

POLISI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.