UONGOZI WA SIMBA, umefikia makubaliano ya kuachana na mchezaji wao Raia wa Burundi Saidoo Ntibazonkiza ambaye alijiunga na klabu hiyo kwa miaka miwili. Beti na Meridianbet ushinde mamilioni, cheza kasino pia.
Mkataba wa Saidoo Ntibazonkiza ulimalazika mwaka huu, hku akiwagawa viongozi wa timu hiyo, wapo waliotaka wamuongeze Mkataba na wengine walitaka apewe Thank You.
Hatimaye upande wa waliotaka mchezaji huyo kuachwa wameshinda, na mida ya mchana wa Saa 7 Juni 18, Taarifa ya Simba ilieleza kuachana na mfungaji bora wao kwa miaka miwili, msimu uliopit alikuwa na mabao 17, huku msimu huu akifunga mabao 11. Michezo ya Kasino Meridianbet inatoa washindi kila siku, jisajili uwe bingwa.
Moja ya sababu iliyopelekea Saidoo kuachwa na Simba, ni suala la umri mkubwa, mchezaji huyo ana miaka 37 suala ambalo linamfanya kushindwa kuhimili kukimbizana kwa kasi kubwa uwanjani.
Mgunda amesema kuwa suala la wachezaji kutajwa kuwa na umri mkubwa halina uhusiano na matokeo uwanjani kwa kuwa kila mmoja anafanya kazi yake kwa mujibu wa maelekezo ambayo yanatolewa na benchi la ufundi.
“Kuhusu umri kutajwa kuwa sababu hilo haliwezi kuwa kweli kwa kuwa kila mchezaji anacheza kwa mujibu wa maelekezo ya benchi la ufundi hivyo kinachotokea ni kile kinachofanyika uwanja wa mazoezi.
“Wachezaji wapo vizuri na wanafanya kazi kubwa kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja tuna amini kwamba itakuwa hivyo, mashabiki wazidi kuwapamoja nasi tutakuwa imara.”
Meridianbet ina michezo mingi ya Kasino, moja ya hiyo michezo ni Super Heli unaweza kuibuka Milionea kwa dau la Tsh 100/=
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.