SIMBA KUWAVAA AHLY KIBABE LEO

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 nchini Misri.

Tayari kikosi cha Simba kimewasili Misri ilikuwa mapema Aprili 3 ambapo walipata muda wa kufanya mazoezi mepesi na Aprili 4 wanatarajiwa kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo.SIMBAIpo wazi kwamba mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 0-1 Al Ahly hivyo kazi kubwa ni kupata ushindi kusonga mbele hatua ya nusu fainali.

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema wapo kamili kuwakabili wapinzani wao kwenye mchezo huo muhimu.

“Tunakwenda kufanya kazi ambayo wengi wameshasahau kwamba tunaweza kuifanya kupata matokeo kwenye mchezo mgumu na wa ushindani mkubwa hizo ni hesabu zetu.SIMBA“Ni mchezo mgumu lakini tunatambua umuhimu wake hivyo tutapambana kupata matokeo kimataifa, mashabiki wazidishe dua,”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.