Simba Mbioni Kumalizana na Straika wa Asante Kotoko.

Simba wanamfuatilia mshambuliaji wa Asante Kotoko Steve Dese Mukwala, ambaye amekuwa na kiwango bora na klabu hiyo ya nchini Ghana. Jiachie kwa kubashiri na Meridianbet, odds kubwa na machaguo kibao. Jisajili hapa.

 

steve mukwala- Simba

Nyota huyo pia anakipiga kwenye timu ya taifa ya Uganda na amewahi kuchukua tuzo ya Mchezaji bora wa Mashabiki nchini Uganda.

Steve Dese Mukwala atawasili Afrika Mashariki kwa ajili ya majukumu ya timu ya taifa kisha atasafiri kuja Dar Es Salaam kusaini kandarasi na Simba, kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya uhakika tayari mchezaji huyo yupo safarini kutoka Ghana kurejea nchini Uganda. Kuwa sehemu ya mafanikio ya maisha yako kwa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kila siku Mamilioni yanatolewa, leo ni zamu yako.

Mchezaji huyo msimu amefunga mabao 12 kwenye Ligi ya Ghana, na kwa mujibu wa Transfermarket dau lake la usajili linafika dola 175,000/= sawa na Tsh Milioni 456.
Timu alizowahi kuchezea hadi sasa ni, Vipers SC, Maroons FC, URA FC zote za Uganda, na Asante Kotoko.

Simba inaendelela kufanya mambo yake chini ya kapeti, huku ukitupia macho zaidi kwenye ukanda wa Afrika Magharib na nchini DR Congo, ili kujaribu kuona namna gani wanaweza kupata wachezaji wazuri.

Mpaka sasa mchezaji aliyesainiwa kutoka DR Congo ni Elie Mpanzu winga, anayetumia mguu wa kushoto na ana sifa ya kupiga mashuti nje ya 18.

Beti kishujaa na shinda kibabe, cheza kasino ya mtandaoni kwa michezo mingi ya sloti na michezo mbalimba.

Acha ujumbe