SVEN AITAKA LIGI YA AFRICA YA KUSINI

Kocha wa zamani wa klabu ya Simba Sven Vandenbroeck amesema anavutiwa kufundisha zaidi Afrika Kusini kuliko kurejea nchini kwaajili ya kuifundisha Simba licha ya kuwa anavutiwa pia na klabu hiyo.

 

SVEN AITAKA LIGI YA AFRICA YA KUSINI

Sven ameweka wazi sababu za kuchagua kufundisha Afrika Kusini ni kutokana na kuwepo kwa mazingira mazuri ya kufundishia pamoja na miundo mbinu tofauti na ilivyo kwa Simba.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

SVEN AITAKA LIGI YA AFRICA YA KUSINI

Akifanya mahojiano na De Sport ya Morocco Sven alisema: “Navutiwa kufundisha pote, Simba au klabu moja wapo ya Afrika Kusini lakini Ligi ya Afrika Kusini ina thamani zaidi, na mazingira yake ni mazuri.”

Acha ujumbe