Uongozi wa klabu ya Tanzania Prisons umesitisha Mkataba na kocha Fred Felix Minziro Kwa makubaliano ya pande zote mbili.

 

Tanzania Prisons Yamtimua Minziro

Taarifa iliyotolewa na klabu haijafafanua sababu za kuachana na kocha huyo huku majukumu ya kocha mkuu akikabidhiwa kocha msaidizi Shabani mtupa.


Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

 

Tanzania Prisons Yamtimua Minziro

Minziro ameiongoza Tanzania Prisons katika michezo 9 huku akipoteza michezo 4 sare 4 na ushindi mechi 1, jumla alama 7 wakiwa nafasi ya 14 katika msimamo wa ligi.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa