Klabu ya Yanga imechaguliwa kuwa timu bora ya wiki ya CAF Champions league round ya pili,
Mashabiki 23,825 walipiga kura huku mabingwa wa Tanzania wakipata asilimia 63 ya kura.
Upigaji kura ulifanyika kwenye Twitter (X) na Facebook.
Hii imesababishwa na kiwango bora walichokionesha Yanga dhidi ya Al Merreikh lakini pia kitendo cha mashabiki wao wengi kusafiri hadi Rwanda ili kuisapoti timu yao

