Yanga SC Kuisaka Unbeaten ya 50

Yanga: Baada ya kuweka rekodi ya kipekee kwenye Ligi Kuu Bara ya kucheza mechi 49 za Ligi bila kupoteza hata moja, vijana wa Nasraddine Nabi watarudi mawindoni Novemba 29 kucheza na Ihefu ya Mkoani Mbeya.

 

yanga

Yanga SC Inakuwa timu ya kwanza Tanzania kuandikisha idadi kubwa ya michezo ya bila kupoteza, na kuifikia rekodi ya timu ya Ligi kuu ya Uingereza Arsenal ya unbeaten 49 waliyoiweka kuanzia May o7, 2003 mpaka Oktoba 16, 2004 ile Arsenal iliyokuwa chini ya kocha wao Arsenal Wenger.

Baada ya mchezo wao wa 49 bila kufungwa, Kocha Mkuu wa Yanga Nasraddine Nabi alisema kuwa, mawinga wake hawajamjulia vizuri namna ya kumpa mipira mshambuliaji hatari ambaye ndiye anayeongoza ufungaji Fiston Kalala Mayele akiwa na jumla ya mabao 10, akifuatiwa na Moses Phiri wa Simba mwenye mabao 8.

Hata hivyo, watani zao walishawahi kufanya hivyo kwa mara ya kwanza mwaka 2010 na msimu wa mwaka 2017/2018 walitwaa ubingwa bila kupoteza kwenye michezo 32, huku pia wakiwa wamewahi kufanya hivyo na kuweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kutwaa ubingwa bila kupoteza mchezo msimu wa 2009/2010 wakicheza michezo 22 ambayo walipoteza alama 4 pekee.

 

yanga

Mwaka huo Simba iliweza kuandikisha mabao 50 na kuruhusu wavu wake kuguswa mara 12, na kufanya tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa kuwa 38 namba ambayo ni kubwa kuwahi kufikiwa na timu nyingi zilizowahi kuchukua ubingwa wa ligi duniani.

Rekodi ya Yanga inakuwa ni ya kipekee na haijawahi kufikiwa na timu yeyote hapa Tanzania na hata Uingereza zaidi ya Arsenal inayoshikilia rekodi ya kuwa timu ya kwanza kwa kutofungwa michezo 49, Liverpool 44 na Chelsea 40, huku Man City wakiwa nafasi ya tano kwa rekodi ya Unbeaten 30.

Beti mechi zijazo za kombe la dunia na nyingine kupitia Meridianbet, beti na kitochi bila bando, kwenye machaguo spesho ya kombe la dunia yenye ODDS kubwa na bomba, na kama sio mpenzi wa mpira kuna michezo ya kasino mtandaoni napo unaweza kushinda jakipoti kubwa. Beti hapa.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

CHEZA HAPA

 

yanga

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.