YANGA WANAITAKA MIDO YA CAF

Klabu ya Yanga imeripotiwa kuwa ukingoni kukamilisha dili la kumsajili kiungo mkata umeme kutoka Ivory Coast, Djire Abdoulaye kutoka klabu ya Racing Club Abidjan.

 

YANGA WANAITAKA MIDO YA CAF

Yanga inahitaji kiungo mwingine mkabaji haraka iwezekanavyo ikiwa ni pendekezo la kocha Miguel Gamondi.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Abdoulaye (17) anatazamiwa kukubaliana pia masharti ya kibinafsi na Young Africans licha ya msururu wa vilabu kadhaa vikiwemo ASEC Mimosas na TP Mazembe vinavyowania saini yake.

YANGA WANAITAKA MIDO YA CAF

Yanga SC inatarajia kuwasilisha ofa hivi karibuni ambapo zaidi dola 120,000 zinatarajiwa kuwatoka kwa ajili ya kuinasa saini ya kinda huyo anayefananishwa na Mohammed Zougrana ambaye alitimkia MC Algiers baada ya Wananchi kuzidiwa kete.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

YANGA WANAITAKA MIDO YA CAF

“Sifa hiii ya Ubora tunapaswa kuilinda na kujivunia maana sio kila mtu anaweza bora. Kuilinda sifa hii ya ubora ni pamoja na kuwa wavumilivu pindi timu inapopitia nyakati ngumu, alisema Rais wa Yanga Eng”. Hersi.

Acha ujumbe