Aaron Ramsey amerudi mazoezini na Juventus kabla ya mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Dynamo Kiev, lakini Juventus wanaendelea kumkosa Alex Sandro bado.
Kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari cha Italia ni kwamba Bianconeri wako kwenye uwanja wa mazoezi huko Continassa, wakiwa wanajifua kujiweka sawa kwa mechi dhidi ya wapinzani wao toka Ukraine Jumanne.

Nyota huyu, raia wa Wales, Ramsey alirejea kundini wakati mkufunzi Andrea Pirlo, ambaye anajiandaa kwa mechi yake ya kwanza kama mkufunzi kwenye mashindano ya UCL, akiwa anakamilisha mipango ya misho kabla ya kuondoka leo.
Alex Sandro hakushiriki katika mafunzo na hatakuwepo kwenye kikosi cha Pirlo kinachoenda kucheza dhidi ya Dynamo Kiev.
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.


Povel
Habar njema kwa mAshabik wa VIBIBI vya TURIN kwa urejeo wa RAMSEY(RAMBO)
Issa
Habr nzur kwa juve na mashabik wake ilimkosa mtu muhim
Hopemwaikuka
Imekaa gud hii
Dorophina
Bora Ramsey amerejea klabuni nguvu kazi itaongezeka
Saupha mohamed
Good news
Gabriel
Safi sana 👍
Sabrina
Afadhari arudi mchezoni
Flomena
Habari njema kwa mashabiki
aisha
Big up
magdalena
bora arudi dimbani kijana tuli mmisi sana
Angelina
Safi
Caroline
Tunasubiri iyo mechi yenu
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa juve mashabiki tuli mic Sana Aaron
warda
Nawaombea ushindi kama wote
Salma ngende
Vizuri
Shani
Ramsey nom kujiung juventus
Elika
Safi sana
Tatu
Hii ni habari nzuri kwa mashabiki wa juve
Zeiyana
Hana mchango mkubwa sana juve hii habari njema kwao
Fatuma kasomo
Safii
Janeflora malisa
Vzr
farida ahmadi
Habari njema Sana
felister
afadhali arudi mazoezini
Sauda
Kaza buti kijana
Mwajumah
Safi sana