Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich anaonekana anamaanisha biashara tena msimu huu wa joto, huku dirisha la uhamisho likifunguliwa jana.

Bilionea huyo wa Urusi msimu uliopita wa kiangazi akifanya usajili wa majina makubwa, na sasa yuko tayari kutumia pesa nyingi tena msimu huu wa joto ili kuifanya timu iwe na changamoto kwa taji la Ligi Kuu msimu ujao.

 

abramovich, Abramovich Yupo Tayari Kulipa £154.5m kwa Haaland., Meridianbet

The Blues wanataka mshambuliaji mpya, ambayo ni mshambuliaji bora kwa sasa, anayekipiga Borussia Dortmund, Erling Haaland ambaye amekuwa kwenye ajenda kwasasa.

Wiki hii mambo yamepamba moto katika shughuli za usajili huku vyanzo vyote vya soka vikiripoti tetesi hii.

Hata hivyo dau la kumng’oa mchezaji huyo halitakuwa dogo, kulingana na jarida la Marca, Abramovich yupo tayari kulipa dau hilo la usajili.

Mmiliki huyo wa The Blues yuko tayari kulipa Pauni 154.5m kusajili nyota huyo katika msimu huu wa joto, ambayo inadhaniwa kuwa inatosha kubadili uamuzi wa Dortmund.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa