Timu ya taifa ya Argentina leo itatupa karata yake ya kwanza kwenye kampeni za kombe la dunia nchini Qatar dhidi ya timu ya Taifa ya Saudia Arabia mchezo utakaopigwa mapema leo.

Kikosi cha kocha Lionel Scaloni ni miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kunyakua kombe la dunia mwaka huu nchini Qatar, Na hii inatokana na kikosi hicho kusheheni wachezaji nyota na wenye ubora wa hali ya juu.argentinaTimu ya taifa ya Argentina chini ya nahodha wao na mchezaji tegemezi zaidi kikosini hapo Lionel Messi ambae anakwenda kuweka rekodi leo kama mchezaji alieshiriki michuano hiyo mara nyingi zaidi ikia ni mara ya tano, Huku hasimu wake wa karibu Cristiano Ronaldo akiwa nae atatitimiza rekodi hiyo baada ya kucheza.

Timu hiyo iliyopo kwenye kundi C pia imefanikiwa kucheza michezo 36 bila kupoteza mchezo wowote, Na hii inaonesha moja kwa moja namna gani timu hiyo imekua kwenye ubora kwa muda mrefu na ndio maana imefanikiwa kucheza michezo 36 bila kupoteza.argentinaTimu ya taifa ya Argentina kwasasa inaonekana ni timu ambayo imekamilika kila wakati tofauti na miaka kadhaa hapo nyuma, Ambapo timu hiyo ilikua na ubora kwenye maeneo ya mbele lakini wakati huu inaonekana kukamilika kila eneo kiwanjani.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa