Arsenal Kumuongezea mkataba Saka na Wenzake.

Klabu ya Arsenal wanapanga kuwaongezea mkataba wachezaji wake kadhaa mikataba wakiongozwa na Bukayo Saka,Gabriel Martinelli, pamoja na William Saliba.

arsenalArsenal wana mpango wa kuwaongezea mikataba wachezaji hao ambao wanaonekana wanaweza kuifanya klabu hiyo kua bora siki za mbeleni, Kwasababu kwenye orodha ya wachezaji hao wote vijana wadogo wenye vipaji vikubwa.

Mkurugenzi wa ufundi wa klabu wa klabu hiyo Edu raia wa Brazil ndio anasimamia utaratibu mzima wa kuhakikisha vijana hao wanaongezewa mikataba kwajili ya kuimarisha timu na kuirudisha kwenye ubora wake uliozoeleka.

“Tunahitaji kutoa motisha kwa wachezaji wetu ambao wana mustakabali mzuri na klabu yetu”  Tunataka kufanya vitu kwenye njia sahihi, na kupanga vitu bora zaidi”Alisema Edu.

arsenalArsenal ambao wanaonekana kua na msimumzuri mpaka sasa chini ya kocha Mikel Arteta ambapo mpaka sasa klabu hiyo inaongoza ligi kuu ya Uingereza ikiwa imeshinda nmichezo saba kati ya nane waliyocheza kwenye ligi hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.