Klabu ya Arsenal inajiandaa kumpa mkataba mpya kocha wake Mikel Arteta na kumfanya kuwa miongoni mwa makocha watakao kuwa wanalipwa pesa nyingi kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Kulingana na gazeti la The Sun, Arsena wako tayari kumpa mkataba mpya kwenye majira ya kiangazi yanayofuata baada ya kuridhishwa na kazi aliyoifanya mpaka sasa, na mradi wake wa kukijenga kikosi cha washaki bubduki wa London kuwa moja ya timu tishio.

Arsenal
Mikel Arteta

Mkataba wake wa sasa na klabu ya Arsenal unaisha majira yajao ya kiangazi, na mkataba mpya atakaopewa anatarajiwa kuvuna kiasi cha £5million kwa mwaka, ni robo ya kiasi anacholipwa kocha wa klabu yaManchester City Pep Guardiola.

Lakini Arteta alipoulizwa kuhusu kuelezea taarifa hizo hakuwa kwenye hali ya kutaka kujibu alinukuliwa akijibu:-

“sikiliza, ni kwamba tu ni furaha hapa na kusudi langu ni kujenga klabu ambayo itakuwa na timu ya ushindi, timu ambayo watu watufarahi kuingalia, ambayo wataitambua na kuweza kubadilisha kutoka kwenye mpira tunaoutaka na kuwa kama taasisi.”


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa