Arsenal Wampa Soares Mkataba wa Muda

Beki wa kulia wa Ureno ambaye kwasasa yupo kwa mkopo Arsenal akitokea Southampton mkataba wake ulikuwa ukimalizika Juni 30 na atakuwa mcheza huru.

Arsenal tayari wamekubaliana kuongeza mkataba wa muda mfupi na Cedric Soares ambao utamfanya asalie hadi msimu wa Ligi itakapomalizika.

Soares alijiunga na Arsenal kwa mkopo akitokea Southampton Januari lakini hajacheza mechi yoyote akiwa kwenye klabu hiyo ya Londo Kaskazini.

Beki huyo wa kulia alikuja kama mbadala wa Hector Bellerin, lakini alijiunga na Arsenal akiwa na majeraha ya goti, wana matumaini atarejea baada ya wiki tatu.

Japo, kupona kwake hakutakuwa na haraka sana kwa Mreno huyo mwenye miaka 28, hajarejea mazoezini tangu Ligi isimame mwezi Machi.

Soares sasa amepona majeraha ya mguu, lakini hajacheza mchezo wowote kati ya mechi mbili za kirafiki dhidi ya Charlton na Brentford wiki zilizopita.

43 Komentara

    Ajitaidi kucheza vizur asajiriwe moja kwa moja

    Jibu

    Habari za nzuri kwa mashabiki wa arsenal#meridianbettz

    Jibu

    Nivizuri Sana ili aongeze juudi ili wamsajili moja kwamoja

    Jibu

    Hatocheza anasalia kufanya nini sasa

    Jibu

    Arsenal wanazingua sana

    Jibu

    Mungu azidi kuimarisha afya yake ili asonge mbele#meridianbett

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Huyu n bek kisiki yuko vzur sana good news ๐Ÿ‘ kwa arsenal

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa mpira

    Jibu

    Ukisikia zari la mentali ndio hilo#meridianbettz

    Jibu

    Ajitahidi kucheza vizuri mana hapo arsenal mambo mabaya sana

    Jibu

    Habari njema kwa klabu yngu bdo tunaitaji wachezaji wazuri ili kujikwamua mana hali ni mbaya

    Jibu

    Hana msaada

    Jibu

    jambo jema kula shavu kijana it’s ur time

    Jibu

    Habar nzur sana

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Ni jambo zuri

    Jibu

    Hongera.

    Jibu

    Dogo akomae apate mkataba wa kudumu kwa washika bunduki

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Asernal##meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Asernal wamepata jeshi

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Kweli timu zinateseka Sana Ndio maana wanawaongezea mikataba ya muda mfupi wachezaji wao

    Jibu

    Azidishe juhudi

    Jibu

    Mungu azidi kuimarisha afya yake ili asonge mbele#meridianbett

    Jibu

    kucheza vizuri mana hapo arsenal mambo mabaya sana

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Yupo vizuri nadhani atapata deal zuri hivi karibuni

    Jibu

    Bora wamchukue huenda akaifanya arsenal ikawa mpya

    Jibu

    Uwamuzi mzuri

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Yaani hadi arsenal watuumize kichwa jamani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na extended ya mkopo

    Jibu

    Azidishe juhudi wamsajili moja kwa moja.

    Jibu

    Mungu azidi kuimarisha afya yake ili aweze kusonga mbele

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Ni uwamuzi mzuri sn

    Jibu

    Bora hata huo mkataba wa mda kuliko kukaa bure#Meridianbettz

    Jibu

    hongera sana kwake

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.