Barcelona Kulipa Kisasi kwa Bayern Munich

Barcelona wanawakaribisha Bayern Munich huku wakiwa na mzigo mzito wa kisasi cha magoli nane waliyofungwa katika robo fainali jiji Lisbon.

Miamba hiyo inakutana tena kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2020 katika robo fainali ambapo walikubali kichapo cha cha 8-2 na kuwa kipigo kikubwa walichowai fungwa kwa miaka 69.

Barcelona vs Bayern munich
Barcelona vs Bayern munich

Barcelona amepoteza mechi saba kati ya kumi na moja walizokutana na miamba hiyo ya Ujerumani katika ligi ya mabingwa Ulaya na kuwafanya kuwa vibonde kwa Bayern Munich.

Bayern Munich mpaka sasa bado wana kiwango kizuri kwa mechi za nyumbani, huku wakiwa na rekodi ya kutofungwa mechi 18 za ugenini tokea septemba 2017.

Leo kuna mechi nane zitakazopigwa usiku katika ligi ya mabingwa:-

  1. Barcelona vs Bayern Munich
  2. Dynamo Kyiv vs Benfica
  3. Young Boys vs Manchester United
  4. Villarreal vs Atalanta
  5. Sevilla vs FC Salzburg
  6. Lille vs Wolfsburg
  7. Chelsea vs Zenit St. Petersburg
  8. Malmoe FF vs Juventus

MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe