Chelsea wanaanza rasmi kutetea taji lao la Ligi ya Mabingwa usiku wa leo wakiwa katika uwanja wa nyumbani dhidi ya timu Zenit St Petersburg kutoka Urusi.

Ujio wa Thomas Tuchel darajani umeleta tumaini kubwa kwa The Blues baada ya kuonekana kupoteana walipokuwa chini ya Frank Lampard, kwani waliweza kufika fainali katika FA Cup, kumaliza nafasi ya nne na kuibuka mabingwa wa Ligi ya Mabingwa kwa kuichapa 1-0 timu ya Manchester City.
Taarifa za Timu
Chelsea:
Chelsea itakuwa bila winga Christian Pulisic sababu ya tatizo la kifundo cha mguu wakati NGolo Kante pia atakaosa mechi hii sababu ya jeraha la kifundo cha mguu.
Jorginho anatarajia kurejea katika eneo la kiungo baada ya kuanzia benchi dhidi ya Aston Villa.
Zenit St Petresburg:
Mchezaji wa kimataifa wa Irani Sardar Azmoun anaongoza timu katika upachikaji mabao, ingawa fowadi mkongwe Artem Dzyuba, ambaye amefikia mabao 20 kwa kila misimu miwili iliyopita, ana uwezekano wa kukaa bila kufunga.
Zenit imejaa wachezaji wenye uzoefu, ikiwa ni pamoja na beki Yaroslay Rakitskiy, ambaye alicheza dhidi ya Chelsea katika hatua ya makundi iliyotajwa ya 2012-13 na Shakhar.

Kikosi cha Chelsea Kinachoweza Kuanza: Mendy; Christensen, Silva, Rudiger; Azpilicueta, Kovacic, Jorginho, Alonso; Havertz, Lukaku, Mount
Kikosi cha Zenit St Petresburg Kinachoweza Kuanza: Kerzhakov; Sutormin, Chistyakov, Rakitskiy, Santos; Malcom, Wendel, Kuzyaev, Mostovoy; Azmoun, Dzyuba
Zifuate Odds hizi
Mechi kuisha kwa Chelsea kufunga (3-0) odds ni 6.20
Mechikuisha kwa sare ya (0-0) odds ni 15
Mechi kuisha kwa Zenit kufunga (1-0) odds ni 25
Ingia Hapa Kwa machaguo mengine mengi uyapendayo.
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


