Imeripotiwa kuwa klabu ya Barcelona ipo katika mpango wa kutuma ofa kwa Inter Milan ili wamsajili mshambuliaji Lautaro Martinez.
Hii ni baada ya meneja wa sasa Ronald Koeman kumfahamisha mu-Uruguay, Luis Suarez anayewindwa na Juventus kuwa hayupo katika mipango yake.

Kama ilivyoripotiwa na goal, Martinez anaongoza katika orodha ya wachezaji wanaowindwa na Barcelona ukiachilia mbali pia kuna tetesi za Nyota wa Lyon,Memphis Dapay pia kufukuziwa na Barca.
Martinez amefunga mabao 30 katika michezo 84 tangu ajiunge na Inter akitokea Racing Club mwaka 2018.
Martinez ni mdogo kwa Suarez kwa tofauti ya miaka kumi(10) hivyo Barca wanaonekana kutaka kusuka upya kikosi chao na tayari kuna mazungumzo baina ya Suarez na Barcelona juu ya kusitisha mkataba wake ambao ungefikia tamati mwakani.

Marca iliripoti kuwa Suarez ameshafikia makubaliano na Juventus ya mshahara wa Paundi milioni 9 kwa mwaka.
Kwa mujibu wa ESPN ni kwamba Suarez anafanya mazoezi pasipo kuhusika na kikosi cha wenzake sambamba na Arturo Vidal mpaka hapo muskatabali wake utakapofamika.
Barcelona tayari walishamnyakua Miralem Pjanic huku pia wakiwa wameshakamilisha dili za Pedri na Fransisco Trincao.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Furahav
Barca watakua wamefanya jambo zuri sana wakimsajiri lautaro martinez.
Flomena
Kama ilivyoripotiwa na goal, Martinez anaongoza katika orodha ya wachezaji wanaowindwa na Barcelona ukiachilia mbali pia kuna tetesi za Nyota wa Lyon,Memphis Dapay pia kufukuziwa na Barca.
Latifa juma mohamed
Martinez anaongoza katika orodha ya wachezaji wanaowindwa na Barcelona ukiachilia mbali pia kuna tetesi za Nyota wa Lyon kufukuzwa.
rama
vizuri kama inter wakubali kumuachia
Adelta
Mashabiki tunashukuru kwa taarifa@meridianbettz
Mwanahamisi
Barca watakuwa wamefanya Jambo zuri sana
Dorophina
Barca wamefanya kitu cha umuhimu sana
Zeiyana
Barcelona walijisahau sana toka wapewe nane wameamka sasa wazee wote wamewatoa sasa wanajenga kikosi upya
Antony Luseno
Sidhani kama inter Milan wakiletewa dau nzuri wana sababu ya kukataa
felister
barca wanaonekana katika kusuka upya kikosi chao
Ernest
Ngoma ikiwa ngumu kwa Martinez basi Depay ananafasi kubwa sana ya kutua Barcelona.
Povel
Kikubw pesa hapo ili inter wawez kufany biashara na Barcelona
Shani
Barca wamchukue huyu mtu ili aje akave nafasi ya suarez
magdalena
barcelona waweke pesa mezani dau likiwa zuri mbona watampata tu
Lydia Emmanuel Magoti
Mamuzi yao Barcelona hayo pesa pesa inaongea
Elika
Barcelona mko vizur
Sabrina
Barcelona sasa ndio wanapambana kutengeneza kikosi
Sadick
Barcelona itatumia fedha nyingi kuunda kikosi cha ushindani, kwa bahati mbaya hawapo vzr kiuchumi#meridianbettz
aisha
Barcelona mmefanya vizuri sana
Fatina mfigi
Asanteh kwa taarif
Tatu
Barcelona watakuwa wamefanya jambo zuri kumsajili Martinez kwa sasa maana watakuwa wameongeza nguvu pale Barcelona
Khadija
Barcelona wapo vzr#meridianbettz
Hidaya
Bora waunde kikosi kipya labda kitaleta ushindani zaidi.
Mwajumah
Barca watakua wamefanya Jambo zuri sana wakimsajili uyo dogo#Meridianbettz
Hope mwaikuka
Barca nmewakubal
lombo
habar njema
Shafii
Kweli koeman anataka kufanya mabadiliko makubwa ndani ya kikosi cha barca.
Theckla
Kweli ameamua
Salma ngende
Kikosi kitakuwa baraa
Amiri Kayera
Inter haiwez kumuachia huy
Saupha mohamed
Barca wapoo moto
Rehema
Barcelona wako vizuri
Gabriel
Martinez ni mdogo kwa Suarez hivyo Barca wanaonekana kutaka kusuka upya kikosi chao na tayari kuna mazungumzo baina ya Suarez na Barcelona juu ya kusitisha mkataba wake ambao ungefikia tamati mwakani.
Janeflora malisa
Hbr njm
Sauda
Barca watakuwa wamefanya jambo la msingi sana
Rose kapinga
Kila la kheri barcelona katika kujipanga kwenu,mambo yaende vizuri msijekuleta matokeo mabovu kama msimu uliopita!!!
Nasra
Ana maamuz magumu
Neema
Hapo watakuwa wameamua kuimarisha kikosiii vizuri zaidi
Samiah
Hbr njemaaa
David Pere
Martinez anaongoza katika orodha ya wachezaji wanaowindwa na Barcelona ukiachilia mbali pia kuna tetesi za Nyota wa Lyon kufukuzwa.