Bashiri leo hii ukiwa na Meridianbet USSD mechi kali bila kutumia intaneti ili uweze kujiweka kwenye nafasi ya kushinda  mkwanja mrefu wa zaidi ya Milioni 15, huku ukiweka mechi zako zozote unazotaka kutoka katika ligi mbalimbali.

 

Bashiri Bila Intaneti Leo

Ukiwa na simu ya kitochi na ukiwa mahali popote unaweza kubashiri kwa kubonyeza *149*10# kama unatumia Tigo na Airtel halafu utafuata maelekezo. Na ukiwa na Meridianbet kwa shilingi 500 tuu unaweza kubashiri timu zako za ushindi.

Meridianbet ndio Kampuni bora Tanzania kwani inakupatia ODDS kubwa na bora kwa mechi mbalimbali Duniani kote. Meridianbet inakupa machaguo 2000+ ambapo kazi itakuwa kwako kuchagua timu zako.

 

Bashiri Bila Intaneti Leo

Mechi kali leo ni Dabi ya Manchester City dhidi ya Manchester United ambapo City amepewa ODDS ya 1.47 ambayo ni ya ushindi  huku United akiwa na 6.07 sare ikipewa 4.50. Mechi nyingine ya kupita nayo ni kati ya Atalanta dhidi ya Fiorentina huku Atalanta akiwa na ODDS 2.16, na Fiorentina akiwa na 3.38, huku mwenyeji akiwa nafasi ya 2 na mgeni nafasi ya 10.

Vilevile usisahau kuanzia nyumbani ambapo leo Wekundu wa Msimbazi Simba atamualika Dodoma Jiji, Huku Simba akipewa ODDS ya ushindi ya 1.33, Dododma Jiji akipewa ODDS ya 8.23, sare imepewa 4.11. Simba atataka ushindi aongoze ligi huku Dodoma nae atataka ushindi ili azidi kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi

Bashiri sasa na Meridianbet USSD kwa ubora wa ODDS na machaguo mengi zaidi.

 

Bashiri Bila Intaneti Leo

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa