Beki wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amesema anaamini ofa za wachezaji Mohamed Salah na Harry Kane hazipo tena kutoka katika klabu za Bacelona na Real Madrid.
“Salah na Kane wameshaachwa na boti ya kujiunga na Real Madrid au Barcelona“ alisema Carragher.

Kumekuwa na uvumi katika wiki za hivi karibuni kuwa Salah hafurahii kuwepo Liverpool, wakati msimu mwingine wa kumaliza pasipo kombe unaweza kumfanya Kane azingatie hatma yake na Tottenham Hotspur.
Walakini, Carragher haoni mtu yeyote akitoa pesa nyingi kumsaini Salah au Kane.
“Kwa wachezaji hao wote wawili, nadhani unazungumza pauni milioni 120 pamoja, labda zaidi, na sidhani kama mtu yeyote atatumia pesa nyingi kwa wachezaji wa umri huo sasa.” aliongeza.
Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.



Adelta
Sasa itakuwaje
Hopemwaikuka
Why not
Lydia Emmanuel Magoti
Duuh itakuwaje
Caroline
Safiiii
Sarah
Kwanini sasa
Venerose
Mmmh kazi ipo
Dorophina
Kwanini ishindikane kikubwa mpunga tu
warda
Salah nae ni Muoga kuhama timu