Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili 13, 2022.

 

chelsea, Chelsea, Bayern OUT Ligi ya Mabingwa., Meridianbet

Chelsea ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana na kuongoza kwa mabao 3-1 katika dakika 90, baada ya dakika za nyongeza.

Mshambuliaji Karim Benzema aliipitisha Madrid kwa bao nzuri baada ya kumalizia kwa kichwa pasi safi kutoka kwa Vinicious Jr, matokeo yakawa 3-2, jumla Madrid ikipita kwa mabao 5-4.

Bayern Munich imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Villarreal ikiwa nyumbani, hivyo kuondolewa kwa jumla ya mabao 2-1 kwa kuwa katika mchezo wa awali Villareal ilishinda bao 1-0.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa