Tetesi zinasema, Manchester United wamefikia makubaliano binafsi na meneja wa Ajax Erik ten Hag kuwa meneja mashetani wekundu kuanzia msimu ujao kwa mkataba wa miaka minne.

Manchester United na Tottenham wanawania saini ya mlinda lango wa West Brom na England mwenye umri wa miaka 29- Sam Johnstone msimu huu.

Tetesi zinasema, Barcelona wanamnyatia beki wa kati anayechezea katika klabu ya Arsenal na Brazil Gabriel, 24.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Liverpool wako tayari kutoa ofa ya pauni milioni 25 kwa ajili ya mlinzi Mbrazili kutoka klabu ya Torino- Gleison Bremer, 25 ambapo Januari tayari walikuwa wameelezea nia yao.

Napoli wamekataa kumuuza mshambuliaji wa klabu hiyo Victor Osimhen msimu huu licha ya mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kusakwa na klabu za Manchester United na Arsenal.

Brentford wanamatumaini mchezaji wa Denmark Christian Eriksen ataendelea kubaikia katika klabu hiyo baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa miezi sita.

Fulham awanakariba kukamilisha mkataba wa pauni milioni 7 kwa ajili ya winga wa Shakhtar Donetsk na Israel Manor Solomon, 22 kuchukua nafasi ya Fabio Carvalho, ambaye yuko tayari kujiunga na Liverpool.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema, Brentford wako katika mazungumzo na Shakhtar Donetsk juu ya mkataba kwa ajili ya winga raia wa Ukraine Mykhaylo Mudryk, 21.

Tetesi zinasema, Mlinzi Mhispania Pablo Mari, 28, amefichua nia yake ya kusalia katika ligi ya Serie A baada ya mkataba wake wa mkopo kuisha na Udinese.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa