Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limetoa utaratibu wa droo ya makundi za timu ambazo zitapaswa kuchezwa kwenye michezo ya kufuzu ya kombe la mataifa huru afrika nchini Ivory Coast 2023.

Kuna maakundi manne ambayo yametengenezwa na kila kundi lina timu kumi ba mbili na inatarakiwa kuwa na makundi kumi na mbili ambayo yatakuwa na timu nne kwenye kila kundi ambapo yataanza na herufi A hadi L, A4, B4, C4,
D4, E4, F4, G4, H4, I4, J4,K4 na L4.

CAF
CAF

Kulingana na kanuni ambazo zipo timu ya mwenyeji atashiriki moja kwa moja lakini Kenya na Zimbabwe ambazo zimefungiwa na FIFA kutoshiriki michuano yoyote zitachukuliwa kama zimeshindwa fuzu.

Kundi A: Senegal, Morocco, Nigeria, Egypt, Tunisia, Cameroon, Algeria, Mali, Côte d’Ivoire, Burkina, DR Congo, Burkina Faso na Ghana.

Kundi B: South Africa, Cape Verde, Guinea, Gabon, Benin, Uganda, Zambia, Congo, Equatorial, Kenya, Guinea, Madagascar na Sierra Leone.

Kundi C: Namibia, Mauritania, Guinea-Bissau, Niger, Libya, Mozambique, Malawi, Togo, Zimbabwe, Gambia, Angola na Comoros

Kundi D: Tanzania, Central, Africa Sudan, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Eswatini, Lesotho, Botswana, Liberia, South Sudan na Sao Tomé e Principe

Droo inatarajiwa kuchezeshwa nchini Afrika Kusini siku ya jumanne ya tarehe 19 April 2022.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa