Chelsea na Manchester United wamekuwa wakihusishwa na kuhitaji saini ya winga wa Bayern Munich, Kingsley Coman ambaye anaweza kuwekwa sokoni na mabingwa wa kihistoria wa Bundesliga.

Wachambuzi wengi wa soka wanadai kuwa Chelsea ipo kwenye sehemu nzuri zaidi ya kunyakuwa saini ya winga huyu mwenye ujuzi sana kutoka Bundesliga kwa sababu kedekede zilizoelezwa.

Cha kwanza kabisa, wanadai kuwa ni ukaribu wa kocha wa Chelsea na viongozi wa Bayern Munich, hivyo haitokuwa ngumu sana kwa the Blues kupata saini ya Coman pindi tu atakapowekwa sokoni.

chelsea - kingsley coman
Coman amekuwa sehemu ya mafanikio ya Bayern kwa kipindi chote

Suala la pesa, United wamekuwa wakihangaika sana kwenye kuboresha kikosi chao, jina la jadon Sancho bado linaumiza vichwa vya mabosi wengi pale Old Trafford, hivyo Euro millioni 55 zaweza kuwa nyingi sana.

Chelsea itanufanaika sana na usajili wa Coman pale Stamford Bridge hii ni kutokana na ukweli kuwa wachezaji wao kama Hakim Ziyech na Hudoi kutokuwa na mchezo mzuri katika kila mechi.

Yote kwa yote tusubiri kuona nini kitatokea kwa sababu vikosi vyote viwili vinatamani kuboreshwa ili kutengeneza EPL yenye upinzani mkubwa ili kuhakikisha kuwa sisi kama mashabiki na wadau wa soka tunafurahia show ya kibabe zaidi.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa