Conte Kusubili Kibali cha Kazi

Kocha mpya wa klabu ya Tottenham Hotspur ambaye ametambulisha leo hataweza kuwa kwenye benchi katika mchezo wa ‘Europa Conference League’ dhidi ya Vittese kutokana na kibali cha kazi kuchelewa kutoka.

Kocha huyo wa zamani wa vilabu vya Inter, Chelsea na Juventus amepewa majukumu ya kuifundisha klabu hiyo ya London leo baada ya kufungashiwa virago Nuno Espirito Santo.

conte

Ingawa alishawai kufanya kazi nchini Uingereza tayari na kuweza kuchukua ubingwa wa Uingereza akiwa na klabu ya chelsea, kwa sasa mambo yamebadilika baada ya Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya.

Conte hana budi kuomba tena kibali cha kufanya kazi nchini Uingereza ambacho kitatoka baada ya siku kadhaa, kocha huyo wa Kiitaliano leo mapema alitembelea mazoezini lakini hakufanya chochote zaidi ya kuwa mtazamaji tu

conte

Conte hatakuwa kwenye benchi wala kufanya kikao na waandishi habari siku ya alhamisi kwenye mchezo wa Europa dhidi ya Vittese, Spurs wanafanya kila liwezekanalo iliawepo kwenye mchezo wa jumamosi dhidi ya Everton.


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.