Kiungo wa klabu ya Barcelona Coutinho aliyehamia klabu ya Aston Villa kwa mkopo wa miezi sita amesema kuwa kocha wa timu hiyo Steven Gerrard ndiye aliyemshawishi kuhamia klabu hiyo ili aweze kurejesha makali yake.
Coutinho amabye ameshindwa kupata nafasi katika klabu ya Barcelona amekamilisha uhamosho wake wa kuichezea Villa mpaka mwisho wa msimu siku ya Jumanne huku kukiwa na kipengere cha kuweza kumnunua moja kwa moja kwa kiasi cha £33milioni majira ya kiangazi.
Akielezea maamuzi yaje ya kuhamia Aston Villa kwenye media ya timu Coutinho alisema ” Steven Gerrard aliniambia kuhusu klabu, shauku na mipango ya yake kwenye klabu, nilipozungumza nae baada ya kikao ilikuwa wazi anataka nibaki hapa, nadhani imekuwa haraka na nafurahai kuwa hapa.”
Coutinho alikuwa anahitaji kurudi Uingereza na kucheza mara kwa mara na aliona Aston Vllla kama klabu sahihi ambayo inaweza kutengeneza kitu kizuri hapo mbeleni.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA