De Zerbi na Farioli Wawapa Somo Manchester United na PSG Kuelekea UCL

 

Makocha wa Italia Roberto De Zerbi na Francesco Farioli waliendelea kujidhihirisha kama makocha nyota wanaochipukia, na kupata ushindi dhidi ya Manchester United na Paris Saint-Germain.

 

De Zerbi na Farioli Wawapa Somo Manchester United na PSG Kuelekea UCL

De Zerbi tayari ameonyesha vipaji vyake katika michuano ya kwenye Ligi kuu na hilo liliendelea huko Old Trafford Jumamosi jioni, wakati timu yake ya Brighton ilipoibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Red Devils.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Seagulls sasa wanashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu wakiwa wameshinda michezo minne kati ya mitano ya mwanzo, na pia kupata ushindi dhidi ya Newcastle, Wolves na Luton Town.

De Zerbi na Farioli Wawapa Somo Manchester United na PSG Kuelekea UCL

Kwa upande mwingine, Farioli ametinga kwenye Ligi ya Ufaransa yani Ligue 1 akiwa na Nice, na kuwaweka nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi baada ya michezo mitano ya kwanza na wa mwisho akiwafunga PSG.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 34, ambaye alitumia miaka miwili na Alanyaspor kabla ya kuelekea Ufaransa, aliiongoza Les Aiglons kushinda 3-2 ugenini dhidi ya PSG Ijumaa usiku, na kupokonya pointi zote tatu katika mji mkuu licha ya Kylian Mbappe kufunga mabao mawili.

De Zerbi na Farioli Wawapa Somo Manchester United na PSG Kuelekea UCL

PSG atakuwa nyumbani kesho kumakribisha Borussia Dortmund kwenye mchezo wao wa kwanza wa ligi ya mabingwa huku Manchester United atakuwa ugenini dhidi ya Bayern Munich.

Acha ujumbe